Wema Sepetu
ni mwigizaji staa wa Tanzania hakuna asiejua, Wema Sepetu ni Miss Tanzania 2006
na ni miongoni mwa mastaa wenye ushawishi mkubwa kwenye mitandao ya kijamii,
hakuna asiejua…… ila tatizo linalomsumbua kwa sasa inawezekana kuna wengi
wasiolijua.
Amekua
akisumbuliwa na tatizo la kutoweza kushika ujauzito ambapo baada ya ukimya
mwingi, Wema ameamua kuongea yafuatayo kwa wote wanaombeza kutokana na tatizo
lenyewe.
Amesema
>>> ‘Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa
nimezaa muda mrefu sana… But sina… Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu…. Au
mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto
wangu mwenyewe… Is dat wat u want…? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu
basi nitangaze… Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto‘
Sentensi ya
pili >>> ‘Kumbukeni na mimi
pia ni binaadam… nina moyo kama nyie… au mnadhani napenda kuona wenzangu wana
watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa kusingiziwa… mnaona nafurahia
sio…. hivi mna nini jamani… yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then
people jus come from nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa
nafsi hadi mtu unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu‘
‘Kwani kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na
kunitolea maneno mazito namna hio… Kisa mtoto… mnadhani naipenda hii hali… hata
mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho…. So mnadhani sijui
kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die… Mnafikiria
nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema ananichukua’
‘Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu…
I want dat with all my life but I cant…. Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata
siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia… But just dont rub it in… It
hurts… And im jus a human being like each and everyone of u….
Post a Comment