Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtaka
Askofu JOSEPHAT GWAJIMA wa Kanisa la Ufufuo na Uzima afike haraka katika kituo
cha Polisi cha Kati ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
kwa mahojiano kuhusu tuhuma zakashfa na matusi."Tumepokea malalamiko ya
kukashifiwa na kutukanwa hadharani Mwadhama Kaldinari Polycarp Pengo ambaye ni
kiongozi wa KanisaKatoliki nchini Tanzania.
"Kupitia mitandao mbalimbaliya kijamii kama vile WhatsApp na mingineyo kunasauti iliyorekodiwa (audio) napicha za video (Video Clip) zikimuonyesha Askofu Gwajima akimkashfu na kumtukana kwa maneno makali Kaldinari Pengo katikahali ambayo pia imewaudhi watu wengine".
Baada ya tukio hilo juhudi mbalimbali zimekuwa zikifanyika katika hali ya kawaida ili kumpata Askofu Gwajima bila mafanikio na hivyo yeye mwenyewe sasa anatakiwa aende akaripoti haraka kwa Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam bila kukosa.
Ni muhimu sana kwa Askofu Josephat Gwajima kuripoti yeye mwenyewe badala ya Kutafutwa au kukamatwa ili ajibu tuhuma hizo kutokana na nafasi yake katika jamii.
Jalada la uchunguzi limefunguliwa na upelelezi wa shauri hili unaendelea ili sheria ichukue mkondo wake.
Imetolewa na:S. H. KOVA,KAMISHNA WA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM

Post a Comment