Ni kama utaniuliza picha gani
iliyovunja internet au kushikilia headlines za internet kwa saa kadhaa April 7
2015 Tanzania, jibu lake litakua ni hii picha ya msanii wa bongoflevaNay wa Mitego na mwigizaji wa bongo movie Shamsa Ford.
Majibu ya Nay
wa Mitego kuhusu hii picha ni kwamba ni movie ndio inachezwa ambapo kama kweli
ni movie basi hii ndio itakua movie ya kwanza sisi tulio wengi kumuona Nay wa
Mitego.
Wawili hawa wametajwa kuwepo mapenzini kwa kiasi kikubwa siku za
karibuni ambapo Shamsa ambaye aliingia kwenye headlines za Magazeti baada ya
kuachana na mume wake, amepost picha mbili ndani ya siku tano zilizopita akiwa
kwenye Gym ya Nay wa Mitego.
Kwenye hii picha ya juu hakuandika chochote kama caption ila hii picha
ya chini mrembo huyu aliandika >>> ‘On Set‘ yaani ni kwenye utengenezaji wa movie.
Post a Comment