Wanaume
na wanawake walio wengi pindi wanapomaliza kufanya mambo yao na wapenzi wao
chumbani hujikuta wakikaa pembeni bila kuzingatia vitu muhimu vinavyotakiwa kufanywa pindi wanapomaliza kusex.
VIFUATAVYO NI VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA PINDI UNAPOMALIZA TENDO NA MPENZI WAKO CHUMBANI:
1. MFUTE FUTE MPENZI WAKO
VIFUATAVYO NI VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA PINDI UNAPOMALIZA TENDO NA MPENZI WAKO CHUMBANI:
1. MFUTE FUTE MPENZI WAKO
Mpenzi
msomaji faham kuwa unapokwenda kufanya mapenzi na mpenzi wako hakikisha
unakwenda ukiwa na kitambaa kisafi (LESO) hiki kitambaa unakuwa nacho maalum
kwa ajili ya kumfuta mpenzi wako pindi mnapomaliza kufanya mapenzi. Hakikisha
unapomaliza kusex na mpenzi wako unamfuta jasho mwilini na pitisha kitambaa
chako katika sehemu zake za siri mfute fute taratibu mpenzi wako usikubali
mpenzi wako ajifute yeye mwenyewe na usisubiri akuambie umfute.
2. MUULIZE MPENZI WAKO KAMA KARIDHIKA AU BADO ANAHITAJI KUENDELEA:
2. MUULIZE MPENZI WAKO KAMA KARIDHIKA AU BADO ANAHITAJI KUENDELEA:
Wapenzi
waliowengi wanapomaliza kufanya mapenzi huwa hawaulizani swali kama hili wengi
hujistukia na kuamua kuvaa nguo zao na kuondoka hili ni kosa kubwa, siku zote
katika mapenzi mwanaume huwah kufika kileleni kuliko mwanamke hivyo mwanaume
hujikuta ameisharidhika ikiwa mwanamke hajaridhika hivyo nivizuri pindi
unapojiona umeridhika muulize na mpenzi wako kama nae karidhika akikuambia
tayari basi mnaweza kuishia hapo au akikwambia bado ni wajibu wako wewe
kuendelea tena kufanya mapenzi mpaka nayeye aridhike. Lakini kunatatizo moja
hujitokeza sana kwa upande wa wanawake wanawake walio wengi wanapoulizwa na
wapenzi wao kama wameridhika huwajibu wapenzi wao "Ndio nimeridhika"
lakini kumbe bado hawajaridhika. Napenda niwaambie wanawake wote wenye mtindo
huu kuwa si mzuri kuweni wakweli pindi unapoona hujaridhika usimfiche mpenzi
wako mwambie ukweli kwani ni haki yako kuridhishwa....
Post a Comment