0
SIMBA KUWAACHA WACHEZAJI KUTOKA UGANDA SIMBA KUWAACHA WACHEZAJI KUTOKA UGANDA

Timu ya Simba ya Dar es Salaam huenda ikaachana na wachezaji wageni kutoka Uganda iwapo tu mawazo ya kocha mkuu wa klabu hiyo kutoka Serb...

Read more »

0
NGASSA ASAINI MIAKA MINNE AFRIKA KUSINI. NGASSA ASAINI MIAKA MINNE AFRIKA KUSINI.

Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Mrisho Khalfan Ngassa amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea timu ya Freestate Stars...

Read more »

0
BVR YACHEMSHA MKOANI MBEYA BVR YACHEMSHA MKOANI MBEYA

Dar/Mbeya. Wakati viongozi wa vyama vya upinzani wakieleza hofu ya Uchaguzi Mkuu kuahirishwa, Tume  ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesitisha...

Read more »

0
MAALIM SEIF ATOA TUHUMA NZITO ZEC MAALIM SEIF ATOA TUHUMA NZITO ZEC

Dar es Salaam.   Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ametoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Z...

Read more »

0
HERI KUPENDWA KULIKO MAUMIVU YA KUPENDA!!! HERI KUPENDWA KULIKO MAUMIVU YA KUPENDA!!!

Katika suala la uhusiano wa kimapenzi ni vigumu sana kujikuta mwanamke na mwanaume mkipendana kwa 100%. Ila ni rahisi mno kwa mmoja w...

Read more »

0
AUNT EZEKIEL AWAPA MAKAVU WATU HAWA MTANDAONI AUNT EZEKIEL AWAPA MAKAVU WATU HAWA MTANDAONI

Hivi naomba kuuliza kuna mtu nilimuomba humu kwenye page yangu anifollow???au nilishatangazwa kuomba followers mimi!!!Sasa ni mm ni mswah...

Read more »

0
 MAFURIKO YANAYOENDELEA SEHEMU MBALIMBALI ZA JIJI LA DAR ES AS SALAAM MAFURIKO YANAYOENDELEA SEHEMU MBALIMBALI ZA JIJI LA DAR ES AS SALAAM

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamejikuta tena kwenye sintofahamu kubwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha tangia jana. Maen...

Read more »

0
YAKO WAPI YALE MABASI 300 YALIYOANDALIWA NA JWTZ KUKABILI MGOMO WA MADEREVA? YAKO WAPI YALE MABASI 300 YALIYOANDALIWA NA JWTZ KUKABILI MGOMO WA MADEREVA?

Baadaya ule mgomo wa kwanza wa madereva uliotikisa nchi kuisha, gazeti la serikali la HABARI LEO lilichapisha habari iliyosema kuwa eti j...

Read more »

0
MGOMO WA MADEREVA: MBOWE APOKELEWA KWA SHANGWE NA MADEREVA WALIOGOMA UBUNGO, AOKOA JAHAZI NA MGOMO KWISHA MGOMO WA MADEREVA: MBOWE APOKELEWA KWA SHANGWE NA MADEREVA WALIOGOMA UBUNGO, AOKOA JAHAZI NA MGOMO KWISHA

Mgomo umesitushwa. Mbowe kaokoa jahazi. Kikao cha kwanza kilikuwa cha DC Makonda. Fujo zikazuka hadi polisi wakaingilia kwa kufyatua sila...

Read more »

0
UTATA WAIBUKA PAMBANO LA NGUMI KATI YA MAYWEATHER NA MANNY PACQUIAO, KARATASI ZA MATOKEO ZAONYESHA MANNY PAC NDIO MSHINDI UTATA WAIBUKA PAMBANO LA NGUMI KATI YA MAYWEATHER NA MANNY PACQUIAO, KARATASI ZA MATOKEO ZAONYESHA MANNY PAC NDIO MSHINDI

UTATA umeibuka kutoka Pambano la Karne baina ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao lililofanyika juzi ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas, Mar...

Read more »

0
MATUSI HAYAMJENGI MTU, YANAMBOMOA!UJUMBE KWENDA KWA MASHABIKI WA WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ MATUSI HAYAMJENGI MTU, YANAMBOMOA!UJUMBE KWENDA KWA MASHABIKI WA WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ

Kwa mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Hawa wawili ni wasanii wetu wanaokubalika nchini, kila mmoja kwa namna yake na kila mmo...

Read more »

0
MGOMO WA DALADALA WALETA SHIDA JIJINI DAR ES SALAAM JANA MGOMO WA DALADALA WALETA SHIDA JIJINI DAR ES SALAAM JANA

Mgomo wa wafanyakazi wa mabasi yanayotoa huduma jijini Dar es Salaam, leo asubuhi umesababisha mtafaruku mkubwa kwa wakazi wa jiji hili a...

Read more »
 
 
Top